Na Mwandishi
Wetu
Ama kweli
wahenga waliosema mtoto akililia wembe usimkataze mwanchie tu acheze nao
utakapomkata ndipo atatia adabu!
Usemi huu
ndio unaonekana kumkuta mtangazaji nyota wa kituo bora cha tv cha DTV Pennieh
Mwingilwa “33” ambae kwa sasa hivi hana amani ya maisha tena kufuatia
mchumbaake Diamond kuripotiwa amerudiana na Wema na siku za hivi karibuni
walionekana nchini China wakila bata batani.
Habari za
uhakika toka kwa beki tatu wa Penny ambae aliomba hifadhi ya jina lake alisema
kuwa “ Kwa kweli Pennieh anaihaitaji msaada wa kufarijiwa kwa sasa ishu ya Diamond
kuonwa China akiwa na Wema Sepetu imemuweka vibaya kiasi cha kushindwa kula na
juzi kapoteza fahamu baada ya pressure kupanda kwa kiwango cha juu” Alisema
dada huyo
Aidha habari
zaidi ziliendelea kusema kuwa mtangazaji huyo kwa sasa anajipanga na maisha ya
“ujane” kwani anamini mwisho wa mchezo
umefika kati yake na Diamond “ Pennieh ameanza kujipanga katika maisha mapya ya
ujane sasa hivi ameanza kushindwa kazini kwake
maneno Komakoma na staafu wenzake japo kurejea kwenye hali yake ya
kawaida” Ilielezwa
Hata hivyo
mtangazji amekuwa akiumia zaidi akifikiria namna ya kurejesha mahusiano yake na
Wema tena pamoja na kampuni yake ya zamani ambayo ni Kajala, Lulu, Jenifa
Pemba, ambao hao wote walikuwa wamemtenga kwa kosa la kupora mume wa mtu Diamond
ambae alikuwa na Wema Sepetu.
"Nimempa kila alichohitaji mwanaume huyu hata vingine ambayvyohajawahi kupewa lakini wapi na kuifanyia wema familia yake lakini wapi aah kha jamani ngojeni nipumue tu"
Katika hatua
nyingine familia ya Diamond imepigwa na butwa kwa taarifa hizo za Diamond na
Pennieh kurudiana kwani ni dhahili kuwa familia hiyo ilikuwa inafurahishwa na
mkwe wao Pennieh ambae anafiwa sana kwa mambo ya kupika mahanju mati ambapo
tofauti na Wema Sepetu ambae yeye hajui chochote.
No comments:
Post a Comment