TANGAZO MAALUM
TANGAZA NA SISI
Thursday, September 26, 2013
SIWEZI KUPIMA UKIMWI HATA KWA MTUTU WA BUNDUKI AU NIFUNGWE MINYORORO SITHUBUTU NG'OO!
STAA wa sinema za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amefunguka kuwa hana mpango wa kupima ‘ngoma’ kama ilivyoripotiwa katika baadhi ya vyombo vya habari.
Akiongea na paparazi wetu, Johari alisema hakufurahishwa sana na taarifa hizo za kupima ugonjwa huo na kusema ukweli ni kwamba yeye hajawahi na wala hana mpango wa kupima hata akifungwa minyororo.
“Nachukia sana watu kusema kuwa eti tunapimisha watu Ukimwi, nahisi kuna mtu anataka kunichafulia tu. Sisi wote hapa RJ hatujapima Ukimwi wala hatuna mpango wa kufanya hivyo,” alisema Johari.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment