HII NDIYO SHERIA BWANA.ALIYETUHUMIWA KUMTEKA NA KUMTESA DR ULIMBOKA AHUKUMUIWA JELA MWEZI MMOJA AU KULIPA FAINI YA ELFU KUMI!
Joshua Mulundi (21) raia wa Kenya aliyekuwa anatuhumiwa kumteka na
kumtesa Dk Ulimboka na baadaye kuachiwa huru na mahakama na baadaye
kufunguliwa kesi ya kulidanganya jeshi la polisi, ahukumiwa kifungo cha
mwezi mmoja jela ama kulipa fine ya shilingi elfu moja (1000) baada ya
kukiri kosa lake.
Hata hivyo mshtakiwa huyo alifanikiwa kulipa
faini hiyo na hivyo kuachiwa huru baada ya mmoja wa waandishi wa habari
kumopatia hiyo pesa
No comments:
Post a Comment