TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Sunday, August 18, 2013

AAHA HAKI YA MUNGU ITAKUWA HATA SHETANI ANASHANGAA HALI YA UKATILI INAYOFANYWA NA WANADAMU!





Ikiwa  ni  siku  chache  baada  ya  mwnamke  mmoja  mkazi  wa  kahama  kubakwa  na  kutobolewa  macho  huku  akichomekwa  kisu  sehemu  zake  za  siri, mitandao  ya  kinigeria  nayo  imeripoti  unyama  kama  huo.....



Kwa  mujibu  ya  mitandao  hiyo, unyama  huo  unadaiwa  kutendwa  kwa  binti  wa  miaka  23  ambaye  alibakwa  na  kundi  la  wanaume  na  kisha  kumchomeka  miti  sehemu  za  siri  na  kumtoboa  macho....

No comments:

Post a Comment