New maisha club jumapili hii palikucha sana palikuwa na birthday ya ommy crayze na nyandu tozi pia burudani ilitolewa na wasanii mbalimbali wa muziki wa kizazi kipya
 mayze b
 Hyperman hk na nipe kidogo. KWA PICHA ZA MATUKIO ZAIDI
 kitu cha keki
 Timu crayze wakimwaga radhi
 dogo hamidu a.k.a nyandu tozi akilishwa keki
 ROBBY ONE fashion akilishwa keki
 Mwakilishi wa wema sepetu petit man wakuache
 Mamaa ommy crayze ANGEL akilishwa keki na ommy crayze
 dogo hamidu akiloweshwa mabia na mamaji kwenye siku ya kuzaliwa kwake.
Rihama ali alikuwepo kuwalisha watu keki
No comments:
Post a Comment