TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Tuesday, July 2, 2013

SNURA ASHANGAZA WATU NA WACHEZA SHOW WAKE TANGA

 Msanii wa kike anaetamba na wimbo wa majanga EAST AFRICA amewashangaza sana wakazi wa tanga pale alipoingia kwenye stage na wacheza show wanne ambao wote ni mapacha wanaofanana kila kitu.Maswali yalikuwa mengi sana kwa snura kwanini aliamua kuwa na mapacha watupu kwenye sehemu ya wacheza show wake? alipoulizwa alijibu ''
Katika kuleta utofauti ndio mana nikaamua kuwa na wacheza show mapacha kwa kawaida napenda sana kuwa tofauti katika show zangu.ndio mana nikaamua kuwatafuta madansa wakike na wakiume. mwandishi wetu alimuuuliza tena hawa ni mapacha wa mama moja, baba mmoja wote wanne? 
alijibu'' hapana wawili baba mmoja  na mama mmoja na wawili baba mmoja na mama mmoja.Pia aliulizwa kama mapacha hao wataonekana kwenye stage wiki hii kwenye kili tour ya moshi pia akasema yeye ni mtu wa tofauti sana wasubirie wajionee wenyewe.



















No comments:

Post a Comment