TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Sunday, May 19, 2013

MASHABIKI YANGA WALIOMTEKA MRISHO NGASA UWANJA WA TAIFA KUSHTAKIWA!

 Hapa mmoja wa mashabiki wa Yanga mwenye jezi namba 24 na wengine wakiwa wamemzingira Mchezaji wa Simba Mrisho Ngasa haonekani pichani.

Mrisho Ngasa kama anavyoonekana akiwa kwenye moja ya mechi za timu Taifa Jijini Dar hivi karibuni.

Na Livingstone Mkoi

Kitendo cha mashabiki wa timu ya Yanga cha kumteka mchezaji harari wa timu ya Simba Mrisho Khalufan Ngasa kimewakwaza baadhi ya wadau wa timu ya Simba mbapo kwa pamoja wamepanga kuwachukulia hatua mashabiki hao ambao walionekana kwa macho.

Wakiongea na Xdeejayz muda mfupi mara baada ya pambano kumalizika mashabiki toka Mkoani Morogoro wakiongozwa na Mudy Muthelezi walisema " Kweli sisi hatukuona haki kwa mashabiki wa Yanga kumteka Ngasa na kumzungusha kwa uwanjani na kama ikithibitika Ngasa mwenyewe akikili alifanyiwa hivyo bila idhini yake tutachukuwa hatua kali kwa kuwashtaki mashabiki hao walimfanyia hivyo" Alisema Mudy ambae pia ni dalali mkubwa wa magari Mkoani humo

 

No comments:

Post a Comment