TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Sunday, May 19, 2013

MASHABIKI WA SIMBA: KWA MUZIKI WA YANGA ISINGEKUWA RAHISI SIMBA KUEPUKA KIPIGO!

 Wachezaji wa Yanga wakiwapa mikono wachezaji wa Simba muda mfupi kabla ya mchezo ulipigiwa jana jioni kwenye uwanja wa Taifa.


 Wachezaji wa Yanga Didie Kavumbagu nyuma yake kulia Hamisi Kiza wakishangia kwa staili ya kuwashukuru mashabiki wao wa Yanga

Golikipa wa Simba na Captain wa timu Juma .K. Juma hiyo akiwa hoi kwenye eneo lake baada kuumia vibaya kufuatia mpira wa adhabu iliopigwa na Nizar Khalufan ambao uligonga mwamba.


 Jerison Tegete akiwa na Kocha wa Simba Julio kwenye moja ya matukio uwanjani hapo yaliyokuwa yananaswa na kamera hatari na za kisasa za DVT/ Xdeejayz.



 Mtangazaji wa DTV kupitia kipindi cha X-Africa  Dakota mwenye miwajini ta tisheti nyeusi akiwa kwenye jukwaa la mashabiki wa Yanga kufatilia pambano hilo lililokuwa na vibweka kibao.


Mwali Live uwanjani.


 Aaga! Aaga! Aaga! cheza kiduku ndivyo wachezaji wa Yanga walivyokuwa wanaimba muda mpufi baada ya mwamuziki kupuliza kipyenga cha mwisho.

 Didier Kavumbagu katikati akiwaongoza wachezaji wenzake kucheza sebeni uwanjani hapo kufuatia timu yao kuifunga Simba jumla ya mabao 2-0 na kukabidhiwa Kombe la Ligi Kuu Tanzania Bara 2013/14

PICHA ZOTE NA LIVINGSTONE MKOI ALIYEKUWA UWANJANI



No comments:

Post a Comment