TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Thursday, May 30, 2013

KIBAKA ALIYEMCHANA WEMBE WA MGONGO ASKARI POLISI AKIONA CHA MOTO!

 Kijana ambae ni kibaka na ahakufahamika jina lake akisurubiwa na wana usalam baada ya kuchana na wembe Askari Polisi aliyekuwa uwanjani kwenye shoo ya Open Mic iliyofanyika kwenye viwanja vya Temeke Mwembe Yanga mwishoni mwa wiki iliyopita.
 Kipigo kikali
 Kijana aliomba ardhi ipasuke kwa kipigo kikali ambacho hakika bila na nguvu za giza watu wangesimuliana

Na Livingstone Mkoi

Kijana asiyejulikana jina lake hivi karibuni alionja joto ya jiwe kwa baada ya kuchezea kipigo cha mbwa mwizi toka kwa wanausalama waliokuwa uwanjani kufuatia kumjeruhi Askari Polisi kwa kumchana na wembe mgongoni wakati askari huyo akimkamata mmoja wa vibaka hao.

Xdeejayz ambayo ilikuwepo uwanjani kukusanya matukio ya kila kinachoendelea ilishuhudia ulinzi wa nguvu uliokuwa umeimalika uwanjani hapo kuanzia mgambo, Polisi kadhu, na wa sale ambao wakiwa na defender zao pamoja na silaha.

Hata hivyo kutokana na wingi wa vibaka ambao ni wazoefu wa eneo hilo walipambana vya kutosha na wana usalama.Hata hivyo wakati wanausalama hao wakijaribu kumkamata mmoja wa vibaka waliokuwa wanapora wananchi ndipo kibaka mmoja anaeonekana pichani alipojitoa muhanga na kumchana kwa wembe Polisi.

Baada ya tukio hilo kijana huyo alikamatwa na kuanza kuchezea kichapo cha nguvu,huku polisi huyo akikimbizwa Hospitali kutibiwa.

No comments:

Post a Comment