TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Tuesday, May 28, 2013

DUDE AFIWA NA MAMA YAKE MZAZI MAZIKO JUMATANO SAA 10

Kulwa Kikumba, msanii wa maigizo aliye maarufu kwa jina la Dude, amepata pigo kubwa baada ya kufiwa na mama yake mzazi asubuhi ya leo jijini Dar es salaam. Katika ujumbe wake ambao ameutuma kwa wadau wake, msanii huyo ameandika

"Ndugu zangu wapendwa, nimefiwa na mamaangu mzazi niliyempenda kuliko mtu yeyote kwenye dunia hii, leo saa 12 asubuhi. Inna Lillah waa inna illah rajiun"
(Pichani ni msanii huyo akiwa kwenye gari akimpeleka mama yake hospitalini kwa matibabu, kumbe mama huyu tayari alishakuwa ameiaga dunia"

Mimi binafsi, wadau wangu na wadau wa Jukwaa Huru Media Inc kwa ujumla, tunampa pole Dude kwa pigo hili. Mungu ampe nguvu ya kuweza kusimama imara katika wakati huu mgumu kwake na familia yake kwa ujumla

No comments:

Post a Comment