MKUTANO WA
DHARULA WA WANACHAMA NA WADAU WA KLABU YA SIMBA YA JIJINI DAR LEO UMEAMUA
KUUENGUA MADARAKANI UONGOZI WA JUU WA KLABU HIYO AMBAO UNAONGOZWA NA MWENYEKITI
WAKE NDUGU ISMAIL ADEN RAGE AMBAYE YUPO NCHINI INDIA KWA MATIBABU HIVI
SASA.
MKUTANO HUO
AMBAO UMEFANYIKA LEO HII JIJINI DAR UMEAMUA KUCHUKUA JUKUMU HILO LA KUWAONDOA
MADARAKANI VIONGOZI HAO WA JUU BILA KUHUSISHWA MWENYEKITI WAO HUKU UKICHUKUA
UAMUZI WA KUIKABIDHI TIMU HIYO MIKONONI MWA NDUGU HANS POPE NA MAMA RAHMA AL
KHAROOS MPAKA HAPO UCHAGURI RASMI UTAKAPOFANYIKA
No comments:
Post a Comment