WAKATI mabinti wengi
hasa mastaa wa Bongo wakijuta baada ya picha zao za utupu walizopigwa na wapenzi
wao kuvuja, kwa msanii mrembo aliyepamba video ya wimbo wa Bongo Fleva uitwao
Jambojambo wa msanii Steve R&B,
Aisha Firozi
‘Sapna’ ni kawaida kwani hujifotoa mwenyewe.
Chanzo makini cha Risasi kimewasilisha folda lenye picha
za kutosha za mrembo huyo akiwa mtupu huku kikieleza kwamba ni mchezo wake
kujipiga mwenyewe picha hizo.
Kwa sharti la kutochorwa jina lake , chanzo hicho ambacho
kipo aribu na Sapna kilisema: “Yule ni mtu wangu wa karibu sana, lakini
tabia yake kwa kweli huwa siipendi kabisa. Anajipiga picha chafu
mwenyewe, kwake ni starehe kubwa, huwezi kuamini.”
Kikiendelea ufunguka zaidi, chanzo hicho
kilipasha kuwa, picha hizo amejipiga hivi karibuni nyumbani kwa rafiki yake
aitwaye Doreen, Tabata - Magengeni jijini Dar es Salaam, ambapo alikuwa akiishi
naye.
KAULI YA SAPNA.....
Ukistaajabu ya Musa
utayaona ya Firauni; Sapna alipopigiwa simu na kuelezwa kuhusu kunaswa kwa
picha hizo, kwanza alishangaa lakini akakiri kuzitambua.
“Hizo kweli ni picha zangu na nilijipiga mwenyewe
sasa sijui wewe umezipataje na zimefi kaje huko kwenu? Mimi nilipiga kwa
masilahi yangu mwenyewe, huwa natamani sana kujiangalia jinsi umbo langu
lilivyo, ndiyo maana niliamua kujipiga na si vinginevyo.
“Kila mtu na maisha yake na mimi sikuwa na dhamira
mbaya kujipiga picha hizo zaidi ya kujiangalia tu nilivyo,” alisema
Sapna
WAKATI mabinti wengi
hasa mastaa wa Bongo wakijuta baada ya picha zao za utupu walizopigwa na wapenzi
wao kuvuja, kwa msanii mrembo aliyepamba video ya wimbo wa Bongo Fleva uitwao
Jambojambo wa msanii Steve R&B,
Aisha Firozi
‘Sapna’ ni kawaida kwani hujifotoa mwenyewe.
Chanzo makini cha Risasi kimewasilisha folda lenye picha
za kutosha za mrembo huyo akiwa mtupu huku kikieleza kwamba ni mchezo wake
kujipiga mwenyewe picha hizo.
Kwa sharti la kutochorwa jina lake , chanzo hicho ambacho
kipo aribu na Sapna kilisema: “Yule ni mtu wangu wa karibu sana, lakini
tabia yake kwa kweli huwa siipendi kabisa. Anajipiga picha chafu
mwenyewe, kwake ni starehe kubwa, huwezi kuamini.”
Kikiendelea ufunguka zaidi, chanzo hicho
kilipasha kuwa, picha hizo amejipiga hivi karibuni nyumbani kwa rafiki yake
aitwaye Doreen, Tabata - Magengeni jijini Dar es Salaam, ambapo alikuwa akiishi
naye.
KAULI YA SAPNA.....
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni; Sapna alipopigiwa simu na kuelezwa kuhusu kunaswa kwa picha hizo, kwanza alishangaa lakini akakiri kuzitambua.

“Hizo kweli ni picha zangu na nilijipiga mwenyewe sasa sijui wewe umezipataje na zimefi kaje huko kwenu? Mimi nilipiga kwa masilahi yangu mwenyewe, huwa natamani sana kujiangalia jinsi umbo langu lilivyo, ndiyo maana niliamua kujipiga na si vinginevyo.
“Kila mtu na maisha yake na mimi sikuwa na dhamira mbaya kujipiga picha hizo zaidi ya kujiangalia tu nilivyo,” alisema Sapna
No comments:
Post a Comment