| RAMA MPAUKA & MOSES IYOBO.... |
| Umati wa watu walijitokeza kumsubiria President wa Wasafi ukumbini....watu hadi kwenye Mitii... |
| Wachafuuuu wakianza Ustarabu wao Stejini.... |
| Yanii....Hivii....Vile...kama kawaida yetu...!! |
| Ulinzi ulihimarishwa na Jeshi La Polisi la Tanzania...Ukumbini hapo |
| Huu ulikuwa umefika Muda wa Kulewa time.... wananchi wa ukelewe wliokuwepo ndan ya Ukumbi walishindana kulewa kwa style hiyo... |
| Watu walikuwa busy na simu zao na Kupiga picha na kurekodi matukio Muhimu Huku Show zikiendelea...Ni Mambo ya Digital TU |
| Nikiwashukuru Mashabiki wangu kwa kushow Love Kwangu AMANI NA UPENDO NDIO LUGHA YA KWETU KIGOMA |
No comments:
Post a Comment