Ikiwa ni siku chache tu baada ya kufungua ofisi yake
"endless fame", iliyoko maeneo ya mwananyamala, jana usiku wema alipokea sim
akitahadharishwa na msamalia mwema kuhusu kundi la watu waliokuwa wanamzungumzia
kwa kumpangia njama ya kumteka, watu ambao walikua katika moja ya baa zilizoko
Sinza inayopitwa Shkamoo pesa bar "ni jana tu around jioni jioni hivi, nilipokea
sim kutoka kwa msamaria mwema, akiniambia wema jihadhari, yaani baada tu ya
kupokea hiyo sim, kwanza i was shoked halafu mwisho wa siku nikiona kama ma
haters wanataka kunijaribisha, halafu mwisho wa siku kama vile hawawezi, maana
hawajui how well am prepared......." wherever they are trying to do, they should
just understand that, wasije wakajikuta wao ndio wako in trouble, in deep shit,
because naskia kuna jopo la watu wanataka kunivamia and its not right, kama
mwenzako anafanikiwa muombee mema sio kumdidimiza...."amesema wemasource na gumzo la
jiji
No comments:
Post a Comment