TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Tuesday, February 26, 2013

KESI YA KAJALA YASOGEZWA MBELE

 Leo ndio ilikuwa itoke hukumu ya kesi ya mwadada mwenye jina kubwa tanzania mama mwenye mtoto mmoja,msanii wa bongo movies tanzania kajala masanja,hukumu hiyo imehairishwa mpaka tarehe 25 mwenzi wa tatu,akiongea na kachero wetu kwa njia ya simu mmoja wa marafiki wa karibu aliekuwepo kwenye kesi hiyo mahakamani leo amesema kutokana na kutokuwepo kwa baadhi ya wahusika katika kesi hiyo inamladhimu hakimu kuhairisha kesi hiyo mpaka tar 25 mwenzi wa 3. blog hii inamuombea kajala masanja kila la heri hili aweze kushinda kesi hiyo

kajala masanja

No comments:

Post a Comment