TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Wednesday, January 2, 2013

MAUAJI KAMA HAYA YANAPASWA KUKEMEWA KWA NGUVU ZOTE!


 Wananchi wa Magomeni Mtaa wa Somanga wakiwa wameubeba mwili wa kijana aliyefahamika kwa jina la Andrw Kiduka ambae alikutwa amekufa ndani ya gari maeneo hayo. 
 Mwili wa kijana aliyedhaniwa kuwa ni kibaka ukiteketea kwa moto mkali wa pira la taili baada ya wananchi wenye hasira kumchoma moto kwa tuhuma za kuwaibia.

Mkazi wa Somanga ambae hakufahamika jina lake akiuangalia mwili wa kijana aliyechomwa moto hadi kufariki papo hapo.
 Mwili wa kijana huyo aliyefahamika kwa jina la Santiago au mzee wa marathoni kama unavyoonekana ukiwa umeharibika vibaya.
Wananchi wakiwa wamelizunguka gari aina ya Benz yenye namba za usajili T585 AFP ulipokutwa mwili wa marehemu Angrw Kiduka siku tatu kabla ya watoto kugundua maiti hiyo.
 Polisi wakipakia moja ya mwili wa maiti hizo
Marehemu Andrw Kiduka kama anavyoonekana baada ya maiti yake kukutwa ndani ya gari maeneo hayo ya Magomeni.
PICHA ZOTE KWA HISANI YA ENTERTAINMENT MASTERS LTD

No comments:

Post a Comment