TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Thursday, November 1, 2012

SHARO MILIONEA AJAZA WATOTO KWENYE MSIBA WA BIBI YAKE SNURA

 Katika hali isiyo yakawaida sharo milionea alipoingia katika eneo la msiba wa bibi yake msanii snura maeneo ya kiwarani akiwa na msanii mwenzie kitare,watoto na watu wazima waliacha shughuli za mazishi na kuanza kuwashangaa wasanii hao, ambao wenyewe wala hawakuwa na habari walikuwa wanaendelea na shughuri zao kama kawaida, Hivi hawa watoto hawasikii jua au? alisikika akiongea mzee mmoja baada yakuwaona watoto hao wakikaa kwa muda mrefu juani kumshangaa sharo milionea na kitale. xdeejayz inampa pole sana msanii snura kwakufiwa na bibi yake mlezi aliemlea tangu mdogo mpaka sasa mtu mzima.




No comments:

Post a Comment