TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Monday, November 26, 2012

SHARO MILIONEA AFARIKI DUNIA

 Habari zenye uhakika na zilizothibitishwa ni kwamba sharo milionea amefariki dunia leo hii usiku wa saa 2 kwa ajali ya gari huko MAGUZONI tanga na maiti iko katika hospital ya teule muheza, kwa habari za alieshuhudia ajali kulwa mbondei amesema marehemu alikuwa peke katika  ajali hiyo na alikuwa na gari aina ya HARRIER,Alisema gari iliacha njia na kuingia mapolini na kugonga mti baada ya hapo ilibingirika bingirika zaidi ya mara tatu na kupelekea kifo chake marahemu ameumia sana maeneo ya kichwani na jichoni .hapo ndipo wasamalia wema walipochukua simu yake nakuangalia majina ya watu kwenye simu nakumpigia simu TUNDA MAN kwamba sharo milionea amepata ajali na amefariki maiti ipo hospital ya teule muweza.hapo ndipo taaarifa za kifo cha sharo zilipoanza kusambaa. mungu mlaze mahala pema peponi SHARO MILIONEA













 NA hii ndio chating ya mwisho ya marehemu kabla hajasafiri kwenda tanga


Gari alilopata nalo ajali marehemu HUSSEIN MKIETI a.k.a sharo milionea.

No comments:

Post a Comment