TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Friday, November 30, 2012

LEVICIOUS JONSON MWANAMITINDO MWENYE NDOTO YA KUWASAIDIA YATIMA!

 Mwanamitindo nyota nchini Levicious Jonson. 
 Mwanamitindo nyota nchini Levicious Jonson akiwa kwenye moja ya hifadhi za wanyama Mkoani Kilimanjaro.

Mwanamitindo nyota nchini toka Mkoani KilimajaroLevicious Jonson amekuwa na ndoto kuanzisha kituo cha watoto yatima kwa ajili ya kuwasaidia.


Akionge na Xdeejayz mwanamitindo huyo alisema kuwa kila siku amekuwa akisikitishwa na kitendo cha kuwaona watoto wa mtaani wakiteseka bila msaada wowote.

Levicious aliongeza kusema kuwa kwa sasa licha ya kuwa na mipango mingi kuhusu mambo yake ya uanamitindo lakini ameshaweka nadhiri kuwa atakapofanikiwa kimaisha lazima aje kufungua kituo kikubwa cha watoto yatima kwa ajili ya kuwapatia haki za msingi kama elimu.

Mwanamitindo huyo aliongeza kusema"Unajuwa nchi yetu ina watoto wengi sana ambao hawana msaada hivyo nao wanahitaji kusaidia" Alisema mrembo huyo

No comments:

Post a Comment