TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Tuesday, September 25, 2012

HUYU NDIO BEYONCE WA TANZANIA

 Huyu ndio beyonce wa tanzania kwajina halisi anajulikana kama mwanaisha idd,ana watoto wawili mapacha wa kizungu anaishi msasani,hana simu nawala hajawahi kumiliki simu hapendi kwasababu kila mara anajikuta akipoteza akiwa na simu, pia hajawahi kwenda club yoyote zaidi ya NEW MAISHA CLUB,maisha ndio home hata nikiumwa nakuja kulala hapahapa au kunywa dawa hapahapa sijawahi kukosa new maisha club napaona kama nyumbani,hata baba watoto wangu nilikutana nae new maisha club.alisema beyonce.

 Miss triity live na beyonce wa tanzania kwenye stage

 Mashabiki wakicheza na miss trinity na beyonce kwenye stage

 Miss trinity akiimba huku akimuangalia beyonce wa tanzania

Hapa miss trinit kutoka jamaica akimshangaa beyonce wa tanzania akifanya vitu vyake

.

 Sifa kubwa ya beyonce New maisha club, yeye ndio uwa wa kwanza kuingia kwenye stage hata kama club kuna watu wanne yeye uwa wa kwanza kuanzisha disco na style yake kubwa ya kujinyonganyonga kama kinyonga



beyonce akiwa na rais wa dar stamina shelta

 Hapa akiwa na dj ommy crayze wa new maisha club

 Hapa beyonce akiwa na mchizi wake gilla

gilla and beyonce

No comments:

Post a Comment