TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Tuesday, September 25, 2012

NEW MAISHA STARS KUKIPIGA NA MARIDADI FC LEO LEADERS CLUB

 Lile chama ambalo linaongoza kwa mechi nyingi za kushinda kuliko kufungwa NEW MAISHA STARS leo inacheza mechi ya kirafiki na maridadi fc katika kujiandaa na kombe la ma club dar es salaam, timu hiyo ambayo ina historia nzuri ya mpira imeshawahi kuifunga timu ya bongo movies 3-1,nakuifunga timu ya Q BAR NA MDAEREVA TAX wa new maisha club.wiki ijayo jumanne itategemea kwenye kupiga mechi ya kirafiki na bagamoyo veterani. timu hiyo ya new maisha stars inayofanya mazoezi yake mikadi beach imejitamba kuifunga maridadi fc leo pale leaders club 4-0.
Kikosi Kizima cha timu yanew maisha stars

No comments:

Post a Comment