Yule mkali wa miondoko ya hihhop suma mnazaleti amejitoa rasmi leo katika kundi la mtanashati linalosimamiwa na ustaaz juma na musoma kile alisema "nimeamua kujitoa mtanashati na sababu kubwa katika zote ya kujitoa mtanashaji ni kwamba nilifata kazi kwa ustaaz juma na sio hela zake! so nilichokuwa nadhania nitakipata mtanashati sijakipata!Boss anatafuta zaidi sifa na ustar tanzania. Na mimi muziki ni kazi yangu so nahitaji kuuheshimu na kuupangia mipango thabit na ratiba maalum kama ofici yangu!mtanashati halipo hilo,ndio maana hata meneja maneno kajitoa pia. hayo sio maneno yangu ya suma mnazaleti Xdeejaz ikamvutia waya Ustaaz juma na musoma nae akafunguka akasema" mie sitafuti jina kwenye muziki leo mie tayari ni star tangu miaka kibao iliopita suma anaanza mziki anasikia jina la ustaaz linatajwa na kina ali choki kipindi yeye bado yuko shule.mie star kitambo sana sitaki jina kupitia suma mnazaleti tatizo suma mnazaleti ni muhuni sana anawapiga wenzake kila siku vyupa akilewa anamatatizo sana, na kuhusu maneno pia nae nimemfukuza kama nilivyomfukuza suma wala hajajitoa nimemfukuza ni meneja muhongo na mwizi anapenda pesa ukimpa hafikishi kwa walegwa hawa vijana hawana fadhila kuwasaidia kote lakini bado wanakusema vibaya kwa watu. suma alikuwa ameshapotea kwenye game mie ndio nimemrudisha kwenye game anasema aoni nilichomsaidia wimbo na video amemsaidia nani kama sio mie ambae leo ananijona mbaya.tatizo walilewa na kufanya fujo na kuanza kuwapiga wenzake vyupa sasa kwa stile hiyo kweli tutafika.? aliuliza ustaaz juma na musoma.
Ustaaz juma na musoma akimkabithi mkataba pnc ambae kwasasa na dogo janja na amazon ndio waliobakia mnanashati.
Suma mnazaleti
No comments:
Post a Comment