Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe akiwatangazia waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam jana, juu ya kuwasimamisha kwa muda Mkurungenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari (TPA) na Watendaji wengine wa Mamlaka hiyo ili kupisha uchungunzi wa tuhuma mbalimbali katika bandari.
No comments:
Post a Comment