TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Monday, June 25, 2012

XTREEM CAR... COVINI C6W .... SOON TO BE IN TANZANIA


          COVINI C6W.. Ni Aina ya Gari Ambayo ni ya kipekee, yenye matairi Sita wakati ikiwa ni gari ya chini, (Sports Car) Ina Engeen ya 4.2- Liter V8, HP (325KW) kwa 6400 rpm, Manual 6- gear, Ina uwezo wa Speed 300 km/h (185 mph) ... 



    Mtanzania Kwa jina .......tunalihifadhi  (Msani wa Kizazi kipya)  Alidai kuwa yeye ndiye atakaekuwa mmiliki wa kwanza wa Gari hiyo aina ya Covini C6W Africa...
Anyway Kama itakuwa hivyo Tanzania itajivunia kwa kukuwa kiuchumi kwani kama kijana mdogo ataweza kuingiza gari ya dhamani kubwa sanaaa (?????) Basi Tanzania inaweza kukuwa kimaendeleo.









JE!!! ULIYAJUA HAYO? JE UNATAKA JUA NANI ANATARAJIA INGIZA GARI HIYO TZ?

No comments:

Post a Comment