TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Friday, June 29, 2012

DR. STEPHENE ULIMBOKA AKIWA ICU MUHIMBILI

Kwenye Picha Tunamuona Dr. Stephene akiwa kwenye hali mbaya sana, yaani kiukweli unaweza usimtambue kuwa huyo ndiye Dr. Ulimboka kama usinge ambiwa kuwa ni yeye.
Tukio hilo lililofanyika Usiku wa Kuamkia Jana, Ni tukio baya sana ambalo halijajulikana chanzo chake ni nini!!!!!
Mpaka siku ya leo Madaktari wamejitahidi na Dr. Ulimboka anaendelea vyema kwa kiasi fulani.. 

Watanzania Tunapoelekea sipo tunapostahili.. 

GET WELL SOON DR. STEPHENE ULIMBOKA......................






No comments:

Post a Comment