TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Wednesday, February 29, 2012

XTREMEDEEJAYZ TO DO AN OPEN SHOWCASE FOR THEIR NEW TOYS

Baadhi ya mitambo mipya ya kisasa iliyoshushwa na XtremeDeejayz.
New Maisha Club ( Outdoors) ambapo Showcase ya XtremeDeejayz itafanyika.

Crew mpya jinji Bongo kutoka kwa maDeejay wakali na wakongwe kwenye fani burudani "The XtremeDeejayza" inategemea kufanya official showcase ya mitambo yao mipya ya kisasa iliyoingia kutoka marekani tayari kwa kupagawisha na kubadilisha kiwango cha burudani nchini. Showcase hiyo ambayo itaongozwa na the infamous DJ MAJEY inatarajiwa kufanyika tarejhe 11 mwezi wa March 2012 pale Maisha Club kwa nje. Akiongea na blog hii msemaji mkuu wa crew hiyo DJ Majey amesem,a usiku huo utapambwa na Xclusive lights displays,lasers,flat screen and projectors bila kusahau Red Carpet kwa MaVIP na Celeb kibao wa Bongo watakaoalikwa kushuhudia mapinduzi hayo ya fani ya kuDeeJay.

Sound ya nguvu itafungwa na DJ mmoja mmoja kutoka crew hii watapanda kuchokono mitambo hiyo kittaalamu sambaba na burudani ya nguvu watakayoitoa.Kwa taarifa zaidi endelea kutembelea blog hii na tufollow kwenye twitter @xtremedeejayz.

No comments:

Post a Comment