TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Monday, August 27, 2012

WALIOKICK KWENYE FIESTA TANGA










YALIOJIRI WIKI HII NEW MAISHA CLUB DAR










Fm academia kila siku ya jumatano new maisha club dar
 


RICH MAVOCO,MWANA FA NA FEROOS WAFUNIKA MBAYA FIESTA MOSHII


 Maajabu aliyoyafanya rich mavoco katika fiesta moshi hakuna yoyote ambae angehisi kama rich mavoco angeweza kufanya maajabu hayo siku hiyo.alipiga show moja ya hatari sana kiasi kwamba mpaka walisikika watoto wakike wakisema Diamond ajipange sana mwishoni mwa mwaka huu. na huyu mtoto mana anafanya vitu vikali diamond haingii hata kidogo. hakuna aliejua aliengia kwenye stage kama ni rich mavoco walianza madansa wake wakafanya vitu vikali na yeye angaungana nao kufanya the same thing mwisho wa siku aliimba na kucheza ndipo mashabiki wakagundua kuwa yule ni rich mavoco shangwe zikaendelea kwa fujo zaidi.kwakifupi show ya leo msanii wa kwanza kufinika ni rich mavoco akafata mwana fa na watatu ni ferooz.
 Hamis mwimjuma a.k.a mwana fa nae alifanya vitu vya hatari sana katika tamashapendwa la fiesta moshi. mashabiki walimpokea kwa nguvu zote.
 Katika hali isiyotegemewa Ferooz nae aliwainua mahsabiki na ngoma yake ya kiboda boda hakuna aliekaa  ilikuwa ni hatari tupu kwa wakazi wa mkoa wa moshi.
feroooz live

Sunday, August 26, 2012

SERENA WILLIAMS UPENDA KUJIACHIA SANA BODY LAKE BEACH

 Kitu chakushangaza sana tanzania kumuona star wa kike tanzania kujiachia akiwa na nguo ya ndani tu maeneo ya beach.lakini kwa wenzetu ni vitu vya kawaida sana kama unavyoomuona mwanadada serena katika picha tofauti na fukwe tofauti akiwa na nguo za ndani tu.hana tatizo na mtu na anafanya yake bila kuogopa mtu.
 mtaalam wa tennis mwenye miaka 30 aliezaliwa mwaka 81 septemba 26.
 Its a professional americani tennis player she is the only female player to have won over dola 35 milion in prize money....source.
Serena williams
 

SHIGONGO AFIWA NA BABA YAKE MZAZI

 MKURUGENZI Mtendaji wa Global Publishers Ltd, Bw. Eric Shigongo, anasikitika kutangaza kifo cha baba yake mzazi na Mwenyekiti wa Global Publishers Ltd, Mzee James Bukumbi, kilichotokea usiku wa kuamkia Jumapili Tarehe 26/8/2012 katika Hospitali ya Burhani jijini Dar es salaam.
Mipango ya mazishi inafanywa nyumbani kwake Kijitonyama, Barabara ya Sayansi, jirani na Heko Motel, Dar es salaam.
Marehemu atasafirishwa kwenda Mwanza kwa mazishi Jumanne 28/8/2012 na maziko yatafanyika kijijini kwake Bupandwamhela, Sengerema, Mwanza.
Habari ziwafikie ndugu wote wa ukoo wa Bukumbi popote walipo, ndugu wa ukoo wote wa Kapera popote walipo, wananchi wote wa Jimbo la Buchosa, ndugu, jamaa na marafiki wa Shigongo popote walipo.

Marehemu james bukumbi,mungu alaze roho ya marehemu mahala pema peponi ,amin

VIONGOZI MBALIMBALI WAWA MSTARI WA MBELE KUHESABIWA KWENYE SENSA

 
 Waziri mkuu mizengo pinda akihesabiwa kijijini kwake kibaoni mkoani katavi leo hii.
 Mkuu wa wilaya ya singida mwalimu queen mloz, akihesabiwa na karani wa sensa nyumbani kwake leo asubuhi.
waziri mkuu mizengo pinda na karani wa sensa

Friday, August 24, 2012

MZIGO MPYA UMEINGIA SOKONI-NEW RANGE ROVER



The all-new Range Rover features the next-generation of Land Rover’s Terrain Response® system, analysing the current driving conditions and automatically selecting the most suitable vehicle settings for the terrain. The result, peerless handling, agility and ride quality.