TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Tuesday, November 17, 2015

KATAA UDHALILISHAJI HUU: WACHUNGAJI WAFANYA UBATIZO WA AJABU, WAAMURU WAUMINI WAVUE NGUO NA KUBAKI WATUPU KISHA KUWABATIZA KWA KUWABUSU MAKALIO YAO..!

Dunia hii inaelekea ukingoni ukiona mambo yanayotokea  kwenye ardhi hii utagundua tupo kwenye hatua za mwisho kabla ya hukumu kuikumba Dunia.
Mtandao huu wa maskanibongotz kupitia msaada wa mitandao mmojawa nchini Jamaica umenasa taarifa za siri za Kanisa moja nchini humo ambalo waumini wake hubatizwa wakiwa uchi na Pasta wake huwabusu kwenye makalio kabla ya kuzamishwa baharini.
Pichani kama inavyoonesha wanaumini hao wakiwe wamepiga magoti na kutizama baharini ambapo mbele yao kuna mchungaji mwingine akiwabariki lakini nyuma yao kuna mchungaji anaewabusu na kusema maneno kadhaa ya Mungu wao wanaomjua wao ambae si Mungu wetu huyu aliyeumbwa Mbingu na Ardhi.
Credit:maskanibongotz 

No comments:

Post a Comment