TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Wednesday, September 23, 2015

MWANAMUZIKI MUDY KIBERITY AMFANYIA UMAFIA WA KUTISHA DIAMOND PLATNUM, SIASA ZAMPONZA MASHABIKI WASAMBARATIKA WENGINE WAAPA KUTOKUWA SHABIKI WAKE TENA..!

Mwanamuziki Muddy Kiberity  wa bongo flava

Wimbo wa  Muddy Kiberity uitwao Kwanza Pesa MAPENZI BAADAE.

Mwanamuziki Diamond ambae kwa sasa amewagawa mashabiki wake baada ya kuonekana kuegemea upande mmoja wa chama flani na kupiga nae kampeni.
Na Mwndishi Wetu  
Mwanamuziki wa Bongo Flava aliyefahamika kwa jina la Muddy Kiberity amefanikiwa kuwanyakua mashabiki wote wa mwanamuziki Diamond baada ya kujiingiza kwenye ushabiki wa kisiasa.
Wakionge na kwa nyakato tofauti mashabiki hao wamsema kuwa mwanamuziki Muddy anakipaji zaidi ya Diamond kutokana na uwezo mkubwa aliokuwa nao wa kuimba huku sauti yake ikiwa balaa kwa mvuto.
Hata hivyo mwanamuziki huyo mwenyewe alisema kuwa amefurahishwa na mashabiki hao kukubari kwa vile ameweza kutoa wimbo uliokubarika huku akitamba mziki wake ni mzito kwa sasa Diamond asitie maguu ataumia.
Wimbo wa mpya wa mwanamuzki huyo Uitwao Kwanza Pesa Mapenzi Baadae umeanza kuchezwa kwa fujo kwenye vituo vyote vya radio kiasi cha kushika kwenye chati mbalimbali huku mashabiki wengi wakiuomba upigwe mara kwa mara kutokana na ubora wake 

Friday, September 18, 2015

FILAMU YA GOING BONGO YAZIDI KUTISA DUNIA, WAINGEREZA WAPONGEZA MTANZANIA ERNEST NAPOLEON WASEMA TANZANIA INATAKIWA KUJIVUNIA KWA KIPAJI CHAKE..!-

 Staa wa filamu ya Going Bongo Ernest Napoleon akiwa pamoja na wasanii wengine..!
  Staa wa filamu ya Going Bongo Ernest Napoleon akifafanua jambo  kwenye mkutano na waandishi wa habari hwapo pichani..!
 Ernest Napoleon akiwa pamoja na wasanii wengine wa bongo movie










Filamu ya Going Bongo imeendelea kuwa gumzo duniani kote kutokana na kuigizwa kwa kiwango cha juu huku nchi ya Tanzania ikipata sifa kede kede kutokana na sinema hiyo kuigizwa na raia wa Tanzania aishie nchini,
Sinema hiyo wiki mbili zilizopita ilionshwa tena kwa mara ya pili nchini Uingereza katika mji mwingine na kuhudhuriwa na umati mkubwa wa watu huku mabalozi toka nchi mbalimbali wakihudhuria kuishuhudia sinema hiyo matata ambayo kwa sasa inapatikana nchini.

Wednesday, September 16, 2015

DADA MWENYE JINI NUSRA AMTOE ROHO MTOTO MDOGO AMNG'ANG'ANIA SHINGO, DR KESSY AMUOKOA, WATU WATIMBUA MBIO MJI MZIMA..!


TUKIO HALISI MWANAMKE MWENYE ALIYEPANDWA NA JINI AKIMSURUBU MTOTO MDOGO MARA BAADA YA KUONJA MAJI YA BARAKA YA USTAADH KESSY AMBAE ALIKUWA MKOANI HUMO HIVI KARIBUNI NA KUFANYA MAMBO YA KUSHANGAZA
DR  KESSY MAARUFU KAMA MTOTO WA MCHUNGAJI AKIWAHUTUBIA MAELFU YA WAKAZI WA MJI WA RUSHA KWENYE HARAKATI ZA KUWAKOMBOA WATU WENYE MATATIZO KWA KUWAPATIA MAJI YA BARAKA YENYE NGUVU YA AJABU KWA KILA MGONJWA PAMOJA MAFANIKIO YA BIASHARA NK.

 MAELFU YA WAKAZI WA RUSHA AMBAO WALIHUDHURIA MUHADHARA WA DR KESSY A.K.A MTOTO WA MCHUNGAJI

 
 WANANCHI MBALIMBALI WALIOFIKA KWENYE MUHADHARA HUO WAKIJARIBU KUMDHIBITI DADA ALIYEPANDWA NA JINI AMBAE ALITAKA KUMUUA MTOTO KWA KUMNG'ANG'ANIA SHINGO HADI ALIPOKUJA KUOKOLEWA NA DR KESSY
 MMOJA WA JINI AMBAE ALIONEKANA LIVE AKITEMBEA JUU YA VICHWA VYA WATU.
 STAADH KESSY AMBAE AKIMTHIBITI KINA ALIYEPANDWA NA JINI MARA BAADA YA KUNUSA MAJI YA BARAKA TU KISHA KUPANDISHA
HALI ILIKUWA MBAYA KWENYE UWANJA UNGA LIMITED ARUSHA AMBAPO KAMA INAVYOONEKANA WAKINA MAMA WAKITOKA MBIO KUOKOA UHAI WAO KWANI WATU WENYE MAJIINI WALIPANDISHA NA KUWA TISHIO KATIKA ENEO HILO
 DADA HUYU NUSRA AMUUE MTOTO HUYU BILA NGUVU ZA ZIADA KUTUMIKA KWELI INGEKUWA MAMBO MENGINE

 STAADH KESSY ALIFANYA KAZI YA ZIADI KUTULIZA HALI YA HEWA JAPO AMANI IRUDI


 UMATI MKUBWA WA WATU WAKIWA KWENYE HAMAKI KUTOKANA NA BALAA LA DR KESSY KWA KUWACHOKOZA MAJINI YA KIMERU








NA MWANDISHI WETU
KATIKA HALI ISIYOKUWA YA KAWAIDA NA KUSHTUA DR KESY TOKA FIESAL NATUROPATHIC CLINIC YENYE MAKAZI YAKE MAENEO YA MBURAHATI JIJINI DAR KARIBU NA SHULE YA MSINGI MIANZINI HIVI KARIBUNI ALIKIONA CHA MTEMA KUNI KUFUATIA KUYACHOKOZA MAJINI YA KIMERU HUKO ARUSHA HUKU NUSRA YAMTOE UHAI MTOTO WA KIUME MWENYE MIAKA 7.

TUKIO HILO LA KUSHANGAZA TOKA DR KESSY LILITOKEA HIVI KARIBUNI NA KUSHUHUDIA NA MAELFU YA WAKAZI WA ARUSHA MBAPO DR HUYO ALIPOFANYA MUHADHARA KWENYE VIWANJA VYA UNGA LIMTED WENYE LENGO LA KUWAKOMBOA WATU WENYE SHIDA KWA KUWAPATIUA MAJI YA BARAKA LAKINI PIA KUWAOMBEA DUA MAALUM LA KUONDOA SHIDA ZINAZOWAKABIRI.

HATA HIVYO KATIKA HALI ISIYOTARAJIWA MMOJA WA WANANCHI HAO AMBAE ALIFIKA KWA AJIRI YA KUMSHIKILIZA DR HUYO AMBAE KIPINDI HICHO TAYARI ALIKUWA AMESHAUBARIKI UWANJA HUO KWA KUMWAGIA MAJI YA BARAKA AMBAYO YAMEKUWA MSAADA MKUBWA KWA WATANZANIA MBALIMBALI DUNIANI YANAYOPATIKANA OFISINI KWAKE MBURAHITI TU NDIPO DADA MMOJA LIPOPANDISHA MASHETANI MARA BAADA YA KUKANYAGA ARDHI TU ILIYOKUWA IMESHAWEKWA BARAKA NA DR KESSY.

HALI ILIKUWA MBAYA MBAPO DADA HUYO ALIMKAMATA MTOTO MDOGO KAMA ANAVYOONEKANA KWENYE PICHA NA KUANZA KUMRARUA NA KUTAKA KUMMEZ MZIMA MZIMA HUKU WANANCHI WAKIJARIBU KUMUOKOA MTOTO HUYO TOKA MIKONONI MWA DADA HUYO BILA MAFANIKIO KUTOKANA NA NGUVU ZA AJABU ALIZOKUWA NAZO HADI ALIPOKUWA DR KESSY NA KUMUOKOA MTOTO HUYO KISHA DADA HUYO ALIPEWA MAJI YA BARAKA TU KISHA MAJINI HAO WABAYA WAKAKIMBIA.

AKIONGEA NA NA MTANDAO HUU KUPITIA SIMU NAMBA 0713-247829 ALISEMA " NI KWELI NDUGU MWANDISHI HALI HIYO ILITOKEA MAJINI NI WATU WABAYA BILA JITIHADA ZA ZIADA YULE MTOTO ALIKUWA ANA MEZWA MZIMA MZIMA HIVYO NAENDELEA KUTOA UWITO KWA WATANZANIA KWA SASA NIMERUDI NIPO DAR WATU WASITESEKE WAKATI MSAADA UPO NA PIA WAME MAKINI NA KITU KINACHOOITWA MAJI YA BARAKA KWANI KUNA WATU WENGINE WANATUMIA MAJI FEKI NA KUSEMA NI YA BARAKA, MTU YEYOTE ANAHITAJI MSAADA WA KILA HITAJI AFIKE OFISNI KWANGU MBURAHITI KARIBUN NA SHULE YA MSINGI MIANZINI AU APIGE SIMU YANGU 0713-247829, 0767-247 829, 0787-247 829 NA ATANIPA MIMI MOJA KWA MOJA" ALISEMA DR KESSY WOTE HATA WANAOSUMBILIWANA JINI MAHABA USHIRIKINA KWAKE HILO SIO TATIZO KUBWA..!

Tuesday, September 15, 2015

HATARI SANA: WANANCHI WAMCHONGEA MKUU WA WILAYA YA KINONDONI KWA RAIS JAKAYA KIKWETE, WAMUOMBA KUMFANYIA MABADILIKO HARAKA KABLA HAJAONDOKA MADARAKANI, RPC WAMBURA NAE AHUSISHWA..!


RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DR JAKAYA MRISHO KIKWETE AKIPEANA MKONO NA MKUU WA WILAYA YA KINONDONI MH PAUL MAKONDA

 MKUU WA WILAYA YA KINONDONI MH PAUL MAKONDA AKIWAJIBIKA KWENYE MOJA YA MAJUKUMU YAKE HIVI KARIBUNI
MKUTANO WA MKUU WA WILAYA YA KINONDONI MH PAUL MAKONDA KATA YA NAKASANGWE TEGETA JIJINI DAR
  MKUU WA WILAYA YA KINONDONI MH PAUL MAKONDA AKIZUNGUMZA NA WAKAZI WA NAKASANGWE KWENYE MKUTANO ALIOUANDAA YEYE MWENYEWE KUHUSU MIGOGORO YA ARDHI
  MKUU WA WILAYA YA KINONDONI MH PAUL MAKONDA AKIWA AMEKAA CHINI PAMOJA NA NA WAKAZI HAO AMBAO KWA KIPINDI KIREFU WALIKUWA WANAISHI KWA HOFU NA MASHAKA KWA KUHOFIA KUPIGWA MABOMU NA POLISI KWA KILE KILICHOELEZWA KUWA WALIKUWA WAMEVAMIA ENEO HILO LA MWEKEZAJI JAMBO LILILOPIGWA NA WAKAZI HAO
 MKUU WA WILAYA YA KINONDONI MH PAUL MAKONDA AKIWALINGANISHA WAKAZI HAO JINSI UWIANO ULIVYO KWA KATI YA MTU ALIYEKUWA NACHO NA ASIYEKUWA NACHO AKIPIGIA MFANO KUWA HUYO JAMAA MFUPI NDIYE MAKAZI WA ENEO HILO NA HUYO BAUNSA NDIYE FISADI ANAETAKA KUDHURUMU ENEO HILO.

 MKUU WA WILAYA YA KINONDONI MH PAUL MAKONDA
Na Livingstone Mkoi
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua wakazi wa Kata ya Wazo na Nakasangwe wamemuomba Rais Jakaya Mrisho Kikwete kumuongezea cheo Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni kwa kile kilichoelezwa amewasaidia kuwarejeshea amani waliyoitafuta kwa zaidi ya miaka mitano.
Wakaiongea mwandishi wa E-fm Radio bwana Livingstone Mkoi kwenye mkutano wa hivi karibuni ulioandaliwana Mkuu huyo wa Wilaya ambae ni kipenzi cha watu walisema" Ndugu Mwandishi kwa sasa tunajiona ni watanzania halisi kwani hali ilikuwa mbaya kuhusu huu mgogoro wa ardhi ambao uliwasababishia umasikini mkubwa baada ya kubomolewa makazi yao na mali nyingi kuharibiwa" Alisema mkazi mmoja aliyejitambulisha kwa jina moja la Dula

Mgogoro huo wa ardhi uliwaathiri wakazi wa eneo hilo ambao wengi wa wafuasi wa chama cha Mapinduzi CCM na kupelekea suala hilo kufika kwenye mamlaka za kisheria na walishashinda na walitakiwa kulipwa fidia lakini katika hali nyingine upande wa wa pili ambao wanadai ni wawekezaji walikata rufaa na kutaka kesi iendelee ambapo hadi sasa bado kesi hiyo inaendelea.
Mkuu wa Wilaya aliandamana na Mkurugenzi wa Manspaa ya Kinondoni, Afisa Ardhi wa Manspaa na maofisa wengine toka Wilaya akiwepo RPC Wambura na kwa kauri yake Mkuu wa Wilaya hiyo baada ya kupata maelezeo ya toka kwa wananchi ambao walimweleza wazi kuwa kufika hapo kwa mgogoro huo kulikuwa kumesababishwa na mkuu wa Wilaya aliyepita kabla yake ambae walimtuhumu kuwa alikuwa akishirikiana na mafisaidi kuwakangamiza wananchi pamoja na kutoa amri kwa jeshi la Polisi kuwabomolea nyumba zao na kuwalipua kwa mabomu ya machozi.

Hata hivyo katika mkutano huo Mkuu huyo kwa kauri yake alisema " Ndugu zangu kwanza niwashukuru kwa maelezo yenu kwani nilikuwa nimepata maelezo ya upande mmoja ambayo ni toka kwa wenzenu wanaodai haya ni maeneo yao lakini sasa nimepata picha halisi ya mgogoro huu ni dhahiri unaonekana una chembechembe za rushwa lakini mimi nawaahidi kuwasaidia na kuanza sasa naagiza Afisa Ardhi kushirikiana na Mwenyeketi wenu kwanza waje wapime eneo lote hili kisha tukishajua lina ukubwa gani basi tutapata picha halisi na namna ya kufanya bila kuingilia uhuru wa mahakama kwenye hiyo kesi nyingine inayoendelea" Alisema Makonda

Hivyo kutokana na Mkuu huyo wa Wilaya kuonesha moyo wa dhati wa kuwapigania wananchi hao wanyonge na kufuta kauri ambayo awali ilikuwa inatumiwa na viongozi wa Manspaa kuwa watu hao ni wakaimbizi kutokana na ukweli kwamba watu wote wanaoishi eneo hilo ni watanzania  halisi, wanchi hao walifarjika na kumuomba Raisi Jakaya Mrisho Kikwete kumuongezea cheo Mh Makonda na kumpa ukuu wa Mkoa kwa vile kwa kipindi kifupi alichooingia madarakani tayari amefanya mambo makubwa hasa kuhusu migogoro ya ardhi sehemu mbalimbali ya Wilaya hii hivyo wanaamini endapo akiwa mkuu wa Mkoa nadhani atahakikisha Mkoa mzima unakuwa na amani pamoja na vijana wengi kupata ajira.



Sunday, September 13, 2015

PARTY 2 YA GOING BONGO KUWASHUSHA MASTAA WA DUNIA TOKA MAREKANI NA UINGEREZA, ERNEST NAPOLEON ATUA NCHINI NA NEEMA KWA WASANII WACHANGA WA BONGO MOVIE MANAIKI SANGA APATA SHAVU MOJA KWA MOJA..!



 Ernest Napoleon ambae ni staa wa filamu ya Going Bongo Part one ambae kwa sasa amerejea nchini Tanzania baada ya kuwa nje ya tz kwa ajiri ya uzinduzi wa filamu yake hiyo ya Going Bongo nchini Uingereza. Hii mara ya pili sasa kwa filamu hiyo kuzinduliwa..!
  Ernest Napoleon akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya kupata tuzo ya filamu bora Afrika Mashariki na Kati huko Zanzibar
                         

  Mmoja wa mastaa watakaokuwepo Tanzania hivi karibuni kwenye usahir wa kuwatafuta wasanii wachanga watakaoweza kuigiza filamu ya Going Bongo Party Two.

  Ernest Napoleon akiwa na Staa wa filamu ya Wake Up Manaiki Sanga  mara baada ya kikao kifupi hivi karibuni.