TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Monday, May 19, 2014

MABASI MAPYA YA MH SHABIBY YAZUSHA BALAA MKOANI SINGIDA, HOFU KUBWA YAWAKUMBA WATU, ANGALIA HAPA..!

 Hii ndiyo hali halisi ya mabasi ya Mh Shabiby yanavyogombaniwa na abiria kutokana na ubora na usafiri wa haraka na salama huku ndani yake huduma ya vyakula bure kwa abiria..
Waheshimwa: Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Shabiby Mbunge wa Gairo ambae viongozi mbalimbali wa Serikali wameendelea kumpa pongezi kwa jitihada zake za kuondoa tatizo la usafiri kwa wananchi wa kanda ya kati kwa kuwaletea mabasi mapya ya mwendo kasi.

 Wananchi wakiwa wamepanga foleni kugombani mabasi ya Shabiby.
Na Livingstone Mkoi
Ruti mpya ya mabasi ya Mh Shabiby ya Mkoani Singida to Dar imezusha balaa kubwa miongoni mwa watu ambao ni wafanyabiashara wengine wa mabasi ambapo hofu ya kusimamisha huduma zao kuwaingia kutokana na ubovu wa mabasi yao huku abiria wote wakigombania mabasi ya Shabiby.
Habari za uhakika zilizonaswa na gazeti hili zilisema kuwa mabasi hayo ya Shabiby ambayo ni ya kwenda mwendo kasi huku kila huduma zikipatikana ndani ikiwa nji pamoja na kuchimba dawa, vyakula hutolewa bure kwa wateja pamoja na wahudumu wake kuwa na upendo mkubwa kwa abiria wao.
Hata hivyo habari zaidi zilisema kuwa mabasi hayo ambayo
 yanasiti kubwa za kukalia hata ukiwe bonge vipi utafurahia safari yako huku mwendo kasi na salama ndiyo vimekuwa vikiwavutia abiria wengi kiasi cha kuyagombania kila siku mabasi hayo mapya ambayo bado yana makaratasi toka China ambayo ni ya kisasa.

No comments:

Post a Comment