TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Monday, May 19, 2014

ANGALIA MAPICHA KIBAO YA VURUGU ZA DIAMOND NA OMMY DIMPOZ HUKO LONDON, WAZUNGU WAWASHOBOKEA KINOMA. XDEEJAYZ LIVE

Screen Shot 2014-05-19 at 8.13.34 AM
Screen Shot 2014-05-19 at 8.27.36 AMDiamond alikwenda Uingereza kwa ajili ya kufanya video ya wimbo wake na Iyanya ambayo imegharimu zaidi ya dola za kimarekani elfu 20 (zaidi ya milioni 30 za Tanzania) kutokana na ukubwa wa director wenyewe, malazi, mavazi, kusafirisha watu kutoka Nigeria pamoja na mahitaji mengine.
Baada ya kazi Diamond pamoja na mshkaji wake Ommy Dimpoz wameshea baadhi ya picha zao wakiwa kwenye mitaa mbalimbali ya London Uingereza pamoja na video ya show waliyofanya pamoja London.
Screen Shot 2014-05-19 at 8.14.04 AM
Screen Shot 2014-05-19 at 8.14.14 AM
Screen Shot 2014-05-19 at 8.24.05 AM
Screen Shot 2014-05-19 at 8.24.14 AM

No comments:

Post a Comment