Hayawi hayawi yamekuwa,zile basi zetu
tulizokuwa tukizisubiri kwa
hamu na kwa muda mrefu zimeshafika katika bandari ya mombasa nchini
kenya. Kwa hiyo kampuni ya Shabib inawaomba wadau wake wa mikoa yote
ambayo wamekuwa wakitoa huduma za usafiri kukaa mkao wa kula kwani
utaratibu wa kuzitoa
bandarini umeshakamilika na tayari zimeshavuka mpaka kuja nchini
Tanzania.

No comments:
Post a Comment