TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Wednesday, April 23, 2014

HATIMAE YAMETIMIA RADIO MPYA HIYO MIKONONI MWA MASHABIKI UZINDUZI WAKE HAIJWAHI TOKEA AFRIKA MASHARIKI NA KATI ANGALIA HAP..!









 DIAOMOND
Na Livingstone Mkoi
Tangia iachiwe hewani tarehe 2 mwezi huu Radio mpya inayopatikana kwenye masafa ya 93.7 Fm Dar es Salaam hatimae uzinduzi wake unakaribia ambapo mashabiki na wasikilizaji wenyewe wataizindua kwa mikono yao.
Kwa mujibu wa habari za chini kwa chini toka ndani ya kituo hicho ambacho hadi leo mmiliki wake hajafahamika licha ya kwamba wengi wamekuwa wakimuhisi mwanamuziki mmoja wa kike maarufu kuwa ndiye mmiliki zilisema kuwa maandalizi take yanaenda sawa na siku zi nyingi itazinduliwa rasmi.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo iliongeza kusema" Kwanza wanataka kufanya uzinduzi mmoja mkubwa sana ambao wasanii maarufu toka duniani huko wamealikwa baada ya hapo itaanza kutembea kwa mashabiki kwa maana ya wataanza wakazi wa Temeke kuizindua kisha itakuja Ilala na baadae Kinondoni ndiko hata hivyo licha ya radio hiyo kuwa hewani masaa ishirini na nne ikitoa burudani bado haijafahamika kama iko Dar sehemu gani.
Radio hiyo inapatikana kwenye masafa ya 93.7 fm na inasikika vizuri bila mawimbi kutokana na mitambo yake ya kisasa yenye nguvu kubwa huku ikisikika ndani ya gari, kwenye mtandao,nyumbani nk.

No comments:

Post a Comment