
JE NGWEA ANGEKUA HAI ANGERAP KWA STYLE HIYO?
MSWAKI PIA AKAZUNGUMZIA MPANGO WAKE WA KWENDA KUPATA BARAKA ZA MAMA ALBERT, KABLA YA KUIFANYA PROJECT HIYO KWA UKUBWA ZAIDI
MSWAKI ANAONDOKA KESHO KUELEKEA MOROGORO KWA KINA NGWEA, SWALI JE, MSWAKI ATAKUBALIWA KUFANYA ANACHOKIFANYA KUTOKA KWA FAMILIA YA THE LATE ALBERT MANGWEA?
"RADIO MPYA 73.7 YAWA GUMZO MJINI, MAMILIONI YA WATANZANIA WAISUBIRI KWA HAMU"
No comments:
Post a Comment