|
Mwanadada mwenye vituko vyakutosha huddah Monroe maarufu kama lady boss hivi karibuni huenda akatupwa
mahakamani baada ya kuvunja sheria na kuweka mamba ya ndani hadharani
ambapo ametupia picha kwenye mtandao huku akionekana yupo na njema
wanafunja amri ya sita bila hata presha wa wasi, hakiki mdada huyu
huenda anamatatizo na sio bure tu : |
"USIKOSE GAZETI LA MASKANI BONGO KESHO JUMATANO"
No comments:
Post a Comment