Hafidh Masokola Damson ambaye kwa sasa anaishi Tabora mjini eneo la
National Housing amebadilika maeneo yote ya viungo vya mwili wake
isipokuwa meno pekee na kuwa albino hata kufikia hatua ya kujiunga na
chama cha Maalbino Tanzania tawi la Tabora.
Bw.Hafidh Masokola Damson ambaye alibadilika na kuwa Albino kutokana na matumizi ya dawa za Malaria baada ya kuzitumia mnamo mwaka 2010,Kwa maelezo yake mara baada ya kunywa dawa aina ya Metakelfin alianza kubabuka ngozi ya mwili wake huku magamba yakitoka mithiri ya nyoka katika mwili wake.
Hafidh Masokola kabla ya kubadilika kuwa mlemavu wa ngozi Albino.
Kwa uthibitisho wa habari hii waweza kumpigia kwa simu ya kiganjani 0767 298 348 au 0658 298 348.
" MOLENA HOTEL KUDHAMINI XTREME DEEJAYZ TANZANIA NI HOTEL YA NYOTA 5 ILIYOPO DODOMAA MJINI"
No comments:
Post a Comment