TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Thursday, January 23, 2014

HII NDIYO DHARAU YA MTOTO WA KICHAGA MAMTEI, ASEMA HAWAJUIA WOLPER NA WEMA ANAWASIKIA KWENYE RADIO TU..!

 

MUIGIZAJI wa kike aliyetamba katika Tamthiliya ya Jumba la Dhahabu, Cecilia Sospeter ‘Mamtei’ ametoa kali ya aina yake baada ya kusema hawajui wasanii kutoka Bongo Movie, Wema Sepetu na Jacqueline Wolper.

Cecilia Sospeter ‘Mamtei’.
Muigizaji huyo aliyejifungua mtoto wake wa pili wiki kadhaa zilizopita, aliyasema hayo juzikati alipokuwa akihojiwa na paparazi wetu nyumbani kwake Kinondoni, jijini Dar na alipogusiwa kuhusu uwezo wa Wolper na Wema, alitiririka:
Jack Wolper.
“Wolper ndiyo nani na huyo Wema ndiyo nani? Wala siwajui kabisa na ndiyo kwanza nawasikia kutoka kwako. Bongo Movie imevamiwa kwa sasa na ndiyo maana wengi wanaoonekana ni wafanyabiashara na si waigizaji,” alisema Mamtei.
Wema Sepetu.
"GAZETI LA MASKANI BONGO LIKO MTAANI KILA SIKU YA JUMATANO DAKA KIPI YAKO"

No comments:

Post a Comment