TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Tuesday, December 10, 2013

WANAWAKE WANAOSAGANA WAELEZA RAHA WANAYOIPATA WAKATI WANASAGANA, WASEMA HAWANA HAJA YA WANAUME TENA. XDEEJAYZ LIVE!!!












Na Sakina Shabani
Matendo maovu yasiyompendeza Muumba wetu huenda ikawa ndio chanzo cha magonjwa sugu yasiyokuwa na tiba.
Wanadamu wa sasa wamekuwa tishio kwa uovu huenda hata shetani mwenyewe anashangaa juu ya uovu wa wanadamu hao.
Vitendo vya usagaji ni moja ya matendo ambayo Mungu anachukia ni dhahiri yanamaanisha kumsuta Mungu aliyeumba mwanamke na mwanaume ili waoane na kufanya tendo la ndoa.
Lakini sasa hivi wanawake kwa wanawake wanasagana, wanaume kwa wanaume wanaingiliana kinyume na maumbile kana kwamba wanamkoa Mungu.

Xdeejayz iliongea na baadhi ya wanawake wanajihusisha na tabia hiyo wali walisema kuwa tabia wanafutahi sana kufanya tendo hilo tofauti na wanavyokutana na wanaume wao" Kusagana kuna raha yake kaka kuliko hata ya mwanaume" Alisema dada huyo 
Aidha baadhi ya wanawake walielezea kuwa wanawake wengi wameamua kujiingiza kwenye usagaji ili kutoa stress za maisha wanazokumbana nazo kwa wanaum zao.
"SASA BURUDANI IKO NYUMBANI KWAKO. CLUB MAISHA MTWARA, MBEYA, DODOMA, MOROGORO NA DA'SALAA KARIBUNI WOTE"  

No comments:

Post a Comment