TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Tuesday, December 10, 2013

MABONDIA MAARUFU WATUA NCHININ AFRIKA KUSINI KUMZIKA MANDELA, AVANDER ASEMA HAKUNA KAMA MANDELA!

 Bondia Evander Holyfield wa Marekani akiwa na majonzi baada ya taarifa ya kifo cha Nelson Mandela wiki iliyopita. Ambapo bondia huyo atakuwa mmoja wa watu waliopewa nafasi ya kwenda kumzika kiongozi huyo Shujaa Duniani..!!!

 Mike Tyson akiwa na Rais Nelson Mandela kwenye moja ya mapambano ya Ngumi nchini, Rais huyo alikuwa kipenzi cha mchezo huo maarufu duniani. Xdeejayz Live

 Bondia wa Ungereza Linox Lewis akitania na Nelson Mandela kwenye moja ya Mapambano ya Ngumi nchini humo.

 Piga hapa Mheshimiwa...Linox akimtania Mandela

Mabondi Evender vis Botha wakipeana kipigo.



 Mmh Harufu ya damu Mike Tyon vs Evender.






Na Fortunatus Kasomf wa Xdeejayz -Afrika Kusini
Mabondia mbalimbali maarufu Duniani Jumamosi hii wanatarajia kushiriki kwenye mazishi ya Rais wa zamani wa Afrika Kusini Nelson Mandela kama ishara ya kumkumbuka kwa mchango wake kwenye ukombozi wa watu weusi.
 
Habari za uhakika zilithibitishwa na mwandishi wetu aliyeko nchini huko zilisema kuwa mabondio hao kama Mike Tyson, Evender, Linox Lewis, Mohamed Ally na wengine wataungana na rais Baraka Obama kuongoza masihi hayo yanayotarajiwa kuangaliwa na watu zaidi ya Bilioni 5 Duniani kupitia televishen.
Aidha katika hali nyingine maelfu ya watu toka nchi za jirani wameanza kujizogeza kuhudhuria tukio hilo la kihistoria la kumzika shujaa Mandela.
"HII NI WIKI YA HISIA ZA BURUDANI NDANI YA CLUB MAISHA MTWARA. DODOMA, MBEYA, MOROGORO NA DA'SALAAM NJOO UNIONEE TOFAUTI YA BURUDANI"

No comments:

Post a Comment