MASIKU Mbaraka Mwishehe ametiwa mbaroni na Jeshi la Polisi Kinondoni, Dar es Salaam kwa madai ya kuwashambulia kwa kisu watu wawili wa familia moja.
Tukio hili lilitokea hivi karibuni Mwananyamala Kisiwani, Dar ambapo
kwa mujibu wa taarifa ya kipolisi, mtuhumiwa huyo alikutwa ndani ya
nyumba ya Nelson Ainea Shoo, saa kumi na moja alfajiri.Akizungumza na Amani, mke wa Nelson aliyejitambulisha kwa jina la Neema Hamis Zame (32), alikuwa na haya ya kusema:“Siku ya tukio, ilikuwa alfajiri kabla hatujaamka, ghafla nilimsikia shemeji yangu aitwaye Goodluck (Ainea Shoo) akipiga
"WANAFUNZI WA CHUO CHA MZUMBE WAPANIA KUWAFUNIKA WANAFUNZI WA UDOM KWA KWENYE UZINDUZI WA NEW CLUB MAISHA MOROGORO, ZUNGU MNYAMA WATUA KIKOMANDOO"
No comments:
Post a Comment