Jeneza lenye mwili wa Clement Mabina likiwa mbele ya waombolezaji.
Waombolezaji wakiwa katika ibada ya kuuombea mwili wa marehemu Mabina kwenye uwanja wa Ngomeni-Kisesa, Mwanza.
Mbunge wa Sengerema (CCM), William Ngeleja akifuatilia ibada ya kuuombea mwili wa Mabina.
Ndugu na jamaa wakishiriki ibada ya kumuombea Mabina.
Jeneza lenye mwili wa Mabina likiwa eneo la kaburi.
...Likiingizwa kaburini.
Ndugu na jamaa wakiweka mashada ya maua katika kaburi la marehemu Clement Mabina.
Baadhi ya wananchi waliohudhuria mazishi hayo eneo la Kanyamati, Kisesa mkoani Mwanza."GAZETI LA MASKANI BONGO NI ZAIDI YA GAZETI USIKOSE KUSOMA KILA SIKU ZA JUMATANO KWA SHILINGI MIA TANO"

No comments:
Post a Comment