TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Friday, November 8, 2013

TRAFIKI AKUTWA AMELEWA POMBE KWA PESA ZA RUSHWA MUDA WA KAZI NA KUZIMIKA, MADEREVA WAMKOMOA WASEMA WALIKUWA WAMEMCHOKA KWA KUWAPIGA MABAO!

TIMU YA MBEYA CITY YAALIKWA KUWA WAGENI LASMI KWENYE SHOW YA XTREME DJ LIVE DRUMMER NDANI YA CLUB MAISHA MBEYA, MKUU WA MKOA KUONGOZA MAPOKEZI HAYO!

  Afande Shirima akiwa amelewa muda wa kazi kwa pesa za rushwa ya kukamata magari, hali iliyosababisha madereva kumpiga picha na kusambaza mitandaoni kwa lengo la kumkomoa.

 Katika hali isiyokuwa ya kawaida Askari wa usalama barabarani hivi karibuni anadaiwa kunaswa akiuchapa usingizi muda wa kazi baada ya kulewa  pombe muda wa kazi pamoja na kula kiti mota zaidi ya kilo moja na nusu.

TAskari huyo anadaiwa alianza kulewa mida ya saa tatu asubuhi baada ya kupiga mabao ya kutosha ambapo alionekana kwenye baa moja maeneo ya Sanawari Jijini Arusha akipiga mitungi hiyo pamoja na kiti moto pamoja ndizi.

No comments:

Post a Comment