Mtoto mjane wa "4" wa Rais wa kwanza wa Zanzibar aliyefahamika kwa jina la Dida akiwa kwenye picha inayoonesha chuchu za maziwa yake wazi akiwa na Manaiki Sanga " Tthe don" Picha kama hizi zimetokea kuitesa familia ya Rais Karume aliyemaliza muda wake.
Dida akiwa kwenye picha ya mgongo wazi ambapo imedaiwa kutokana na maadili mema ya familia hiyo na ya kiimani imeonekana bint huyu ameitia najisi na kuidhalilisha familia hiyo yenye heshima kubwa nchini.
Na Mwandishi wa XDEEJAYZ ZANZIBAR
Picha za aibu za bint anaetoka familia ya Karume akiwa mtoto wa nje wa mke wa mwisho wa Rais Abed Aman Karume aliyefahamika kwa jina la Dida ambae pia ni mwanamuziki wa kizazi kipya nchini zimevuja na kuisababishia usumbufu mkubwa familia hiyo.
Habari toka kwa mwandishi wetu aliyeko Zanzibar zilizema kuwa bint huyo anaheshimika sana na wazaznibar lakini walipigwa na butwa kuona picha za aibu zikiwa mitandaoni akionekana akiwa nusu uchi kinyume na dini ya kiislamu pamoja na maadili ya familia hiyo.
Picha hizo zinadaiwa kuichafua familia ya Karume ambapo msichana huyo ambae anaokena picha tofauti akiwa amejipiga mwenyewe kwa hiari yake na haikufahamika alipiga kwa madhumuni yapi.
Hata hivyo habari zaidi zilisema kuwa mtu aliyeumia zaidi na picha hizo na Mama mzazi wa binti huyo ambae ni mtu mzima na mwenye heshima kubwa nchini" Kiukweli hali sio nzuri picha hizi zimeivuruga sana familia ya Karume pamoja na watu wa karibu mbaya zaidi wanashindwa namna ya kuchukua hatua kutokana na muonekano wa picha hizo unaonesha huyo binti hakulazimishwa kupiga bali alipiga kwa hiari yake" Kilisema chanzo chetu
Hata hivyo XDEEJAYZ inafanya juhudi za ziada kumtafuta msemaji wa familia ya Karume ili kulizungumzia hili la bint wao kujipiga picha za udhalilishaji kupelekea kuichafua familia hiyo yenye kuheshimka nchini.
Mtandao huu unalani vikali tabia za mabinti ya kipuuzi ya kujipiga picha za nusu uchi bila kufikiri namna gani wanavyodhiathiri familia zao na jamii kwa ujumla. Hivyo Serikali na taasisi zinazohusika zinaombwa kuwachukulia hatua wale wote watakaopiga picha za namna hii kisha kuwafikisha kwenye vyombo vinavyohusika ili sheria ichukue mkondo wake na kuwafundisho kwa wale wanaotaka kuiga tabia za namna hii chafu ambazo zinaharibu watoto wanaochipukia.
TAMASHA LA AMANI NA UPENDO SASA KUFANYIKA MWEZI DESEMBA 8 NDANI VIWANJA VYA POSTA KIJITONYMA**********************!!!!
KAMA
WEWE NI MPENDA BURUDANI HII INAKUHUSU, CLUB MAISHA SASA ZINAPATIKANA
DODOMA, MOROGORO,MBEYA,MTWARA NA DAR ES SALAAM HIVYO UKIFANIKIWA
KUTEMBELEA KWENYE MOJA YA MIJI HIYO USIKOSE FIKA PALE UJIONEE TOFAUTI YA
BURUDANI!
No comments:
Post a Comment