TANZANIA JIANDAE KUSOMA GAZETI PENDWA JIPYA LIITWALO "MASKANI BONGO" HIVI KARIBUNI...LIMESHEHENI HABARI ZA KILA AINA ZIKIWEMO ZA MASTAA WA NDANI YA NCHI NA NJE SI LA KUKOSA!!!
Aunt Ezekiel akiwa na mumewe, Sunday Demonte chumbani. |
MCHEZA sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel amejianika laivu mtandaoni kwa
mara ya kwanza akiwa chumbani amelala na mumewe, Sunday Demonte,
Dubai anakoishi mwanaume huyo huku msanii huyo akiwa na maskani yake
jijini Dar.
Aunt alitundika picha tatu kwenye ukurasa wake katika Mtandao wa
Instagram akiwa na Demonte huku akisindikizia na maneno ya kumsifia
laaziz wake huyo kwa kuwa ilikuwa siku ya kuzaliwa kwake (Demonte).
Baada ya tukio hilo, mashabiki wake walimmwagia sifa kemkemu kuwa watu wamekuwa wakimsema vibaya kwa kukaa mbali na mumewe lakini sasa amewaziba midomo.
Baada ya tukio hilo, mashabiki wake walimmwagia sifa kemkemu kuwa watu wamekuwa wakimsema vibaya kwa kukaa mbali na mumewe lakini sasa amewaziba midomo.
No comments:
Post a Comment