TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Thursday, November 14, 2013

HUYU NDIYE MGANGA ANAEDAIWA KUWAUNGANISHA DIAMOND, PENNIE NA WEMA SEPETU, MASTAA WENGI HUMTUMIA KUJIPATIA MAFANIKIO MAKUBWA,MWENYEWE AFUNGUKA KILA KITU!

Pennie na Diamond ambao wanadaiwa kumtumia Dk Kamdege kufanikisha mambo yao.

Dk Kamdege kutoka Tabora ambae inasemekana amekuwa kwenye  ukaribu na mwanamuziki Diamond pamoja na Pennieh hata kabla hawaanzisha mahusiano yao.

Na Sakina Shabani
Katika hali isiyotarajiwa habari zilizopatikana muda mchache baada ya kuvuja kwa siri ya undugu wa Pennie na Diamond kumbe chanzo chake inadaiwa mganga mashuhuri Tanzania toka Mkoani Tabora aliyefahamika kwa jina moja Dk Kamdege ambae anahusika kwenye mahusiano hayo.

Mganga huyo wa kienyeji ambae amekuwa maarufu sana tangu aanze huduma huyo kutokana na watu maarufu wengi kumfuata kwa ajili ya kutatuliwa mambo yao ikiwemo mafanikio kwenye biashara, kazi, muziki, sanaa, uongozi  ngzi za juu pamoja na michezo.
Habari zaidi zilisema miezi kadhaa iliyopita mganga huyo aliwahi kujitoa kwenye vyombo vha habari akimsihi Pennie aende kwake akamtafutie dawa ili Diamond atulie kwani anamfahamu viuzri mwanamuziki huyo na anajua kitu ambacho angefanya.
Haikupta muda bila kufahamika kama Pennie alienda kwa Dk huyo au lakini hatimae Diamond alianza kurejea kwa Pennie na mambo yalimalizika kabisa kabla ya kuzuka kwa haya ya undugu na ndio maana watu wa karibu wamesema kuwa Dk huyu anahusika kwenye ishu hi ya Diamond na Pennie kwa kuwa ni watu wake wa karibu sana.
Blog hii ilimtafuta DK huyo na alipatikana kupitia namba yake ya simu 0788-844490 na alianza kusema" Mimi hao vijana nawafahamu sana lakini mimi ni Dk wa Watanzania wote sio Pennie na Wema tu hapana kazi zangu zinakubarika na watanzania wote na hata nje ya nchi kwani mimi nawatolea watu mikosi wanaotaka kuwa maarufu na wenye mafanikio pia nawanyooshea njia kwa hiyo naomba msiseme mimi ni Dk wa Pennie na Diamond hata viongozi wakubwa Serikalini nawapatia baraka zangu kisha wanaenda kufanikiwa huwa sipendi kujitangaza huko kwani mimi situmii uchawi kumpa mutu mfanikio hapana hapa ni miti shamba tu inafanyakazi yake" Alisema Kamdege
Aidha Mganga huyo inasemekana amekuwa akitumiwa sana  na baadhi ya viongozi serikalini kwa ajili ya mafanikio kupata uongozi, kupandishwa vyeo kazini, kupewa dawa ya kumuona mbaya wako kwa macho tu huku mastaa wengi wa muziki, filamu, na biashara, kumtuliza mpenzi wako ambae hajatulia kwa umalaya vitu vyote hivyo kwake ni tatizo dogo sana.  Hata waarabu na wazungu humiminika kijijini kwake kwa ajili ya kupata tiba pamoja na kusafishiwa nyota zao kuondolewa mikosi nk.
KAMA WEWE NI MPENDA BURUDANI HII INAKUHUSU, CLUB MAISHA SASA ZINAPATIKANA DODOMA, MOROGORO,MBEYA,MTWARA NA DAR ES SALAAM HIVYO UKIFANIKIWA KUTEMBELEA KWENYE MOJA YA MIJI HIYO USIKOSE FIKA PALE UJIONEE TOFAUTI YA BURUDANI!

No comments:

Post a Comment