Mke wa mtu aliyefahamika kwa jina la Mama Chaku
Na Sakina Shabani
Kweli Pombe sio chai mwanamke mmoja mkazi wa Kinondoni Moscow usiku wa kuamkia jana amefanyiwa kitu mbaya na kundio la wahuki baada ya kuzimia kufuatia kumaliza mzinga mzima wa Konyagi.
XDEEJAYZ ambayo mapaparazi wake wamesambaa kila mtaa wa Jiji la Dar pamoja mikoani walishuhudia tukio hilo live bila cheanga na kufanikiwa kupata picha kadhaa za ushahidi.
Mwanamke huyo aliyefahamika kwa jina la Mama Chaku ambae mumewe ni mfanyabiashara maarufu Mkoani Mwanza siku ya tukio alikwenda kwenye bendi ya Taarabu maeneo ya Mango Garden na akiwa huko alianza kufakamia Konyagi hiyo huku kumbe alikuwa hajala siku nzima.
Baada ya kuzimia vijana hao ambao mmoja wao aliwambia walinzi wa ukumbi huo kuwa anamfahamu mama huyo hivyo ngoja amsaidia ndipo alipoita tax na kwenda kumficha chooni na baadae vijana hao walianza kujisevia usiku kucha hadi asubuhi aliposhtuka akiwa ameharibiwa vibaya pichana kama anavyoonekana.
GAZETI PENDWA JIPYA LA MASKANI BONGO LINAKUJA HIVI KARIBUNI USIKOSE KUPATA NAKALA YAKO NI NOMA!!
No comments:
Post a Comment