TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Friday, October 18, 2013

XTREME DEEJAYZ KUWASHA MOTO TENA LEO@NEW MAISHA CLUB

 


 Ijumaa ya leo New maisha club dar inawaletea burudani kali sana sio yakukosa kabisa kwa kiingilio cha buku 10 tu unapata burudani kali na ya kipekee kabisa kutoka kwa vijana wa xtreme deeejayz wanaongozwa na dvj majey,hypermanh hk na zungu mnyama the drumer.kuanzia mida ya saa3 usiku mpaka asubuhi.
Kutoka kushoto ni DVJ MAJEY, HYPERMAN HK na ZUNGU MNYAMA THE DRUMER.

No comments:

Post a Comment