TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Saturday, October 19, 2013

MAKALIO YA KAJALA NI DILI,,MPEMBA AHADI KUUZA NYUMBA ILI AMLE ULODA MSANII HUYO!!


KATIKA hali ya kushangaza, staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja  amenaswa akiwa ametinga khanga moja na kuwaacha watu midomo wazi.
Kajala alinaswa na kamera yetu maeneo ya Kigogo jijini Dar ambapo watu kibao walionekana kumzunguka na kuhoji kulikoni staa huyo ambaye amezoeleka kutika pamba kali, aonekane na vazi la khanga iliyosababisha makalio yake yaonekana sawia na kuwavutia wanaume wakware?
Akizungumza na Weekly Star Exclusive, Kajala alisema alilazimika kutinga khanga hiyo kuendana na matakwa ya filamu yaliyomtaka kuvaa vazi hilo na kuonesha mazingira ya uswahilini hivyo watu waliomzunguka walikuwa hawajui nini kinaendelea.
Nilipoambia naigiza sinema ya Kigodoro nilishtuka sana lakini mwisho wa siku nilikubali kwa kuwa mimi ni msanii naweza kubadilika kivyovyote na nina imani mashabiki wangu wataniona kivingine, humo ni full mcharuko,” alisema Kajala.

Hata hivyo katika tukio hilo mpemba mmoja aliwavunja watu mbavu kwa kudai atauza hata nyumba yake iliyopo Pemba lakini atahakikisha anamla uloda kuyakomsanii huyo hali iliyowafanya watu kuangua vicheko.

No comments:

Post a Comment