TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Wednesday, October 16, 2013

SOMA MAAJABU YA MWANAMKE ALIYECHOMWA KISU JICHONI NA KUTEMBEA NACHO HADI HOSPITAL BILA KUKITOA!

 

Mwanamke  mmoja  ambaye  mpekuzi  wetu  toka  Nigeria   hakuweza  kulitambua  jina  lake  amechomwa  kisu  jichoni  na  mume  wake  baada  ya  kufumaniwa  akigawa  tunda  kwa  mwanaume  mwingine  ambaye  ni  rafiki  yake  wa  damu....
Inaarifiwa  kwamba, mume  wake  alipewa  taarifa  na  jirani  yao  kwamba  mkewe  yuko  ndani  na  mwanaume  mwingine  ambaye  ni  rafiki  yake....
Baada  ya  taarifa  hiyo, mume  huyu  alifunga  safari  kuelekea  kwake  na  akamkuta  mkewe  akisaliti  penzi  lao  ndani  ya  kitanda  chao..
Kitendo  hicho  kiliongeza  hasira  kwa  jamaa  huyo  ambaye  alijikuta  akimchoma  mkewe  kisu  jichoni.

No comments:

Post a Comment