TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Friday, October 11, 2013

SNURA KUMWAGA RADHI KWENYE UZINDUZI WA XTREME DEEJAYZ BAND USIKU WA LEO

 

 Uzinduzi wa wa style mpya ya upigaji disco kimataifa unasubiriwa kwa hamu kubwa sana usiku wa leo, huku mwanadada SNURA MAJANGA anaetamba na kibao chake cha NIMEVURUGWA atayamwaga mauno live usiku wa leo,kwa upande wa madeejayz wako vizuri na tayari kwa shughuli hiyo yakuwaburudisha watu usiku wa leo new maisha club dar, .DVJ MAJEY,HYPERMAN HK,NA ZUNGU MNYAMA THE DRUMER wataakikisha waanandika historia mpya ya burudani tanzania na east africa kwa ujumla.watu wajitokeze kwa wingi sana kuja kuangalia burudani hiyo.kiingilio itakuwa elfu 10 tu mlangoni . Na jumamosi chama hili la madeejayz  wakali watakuwa NEW MAISHA CLUB MTWARA Kutoa burudani.  Wakazi wa mbeya ,dodoma  wakae tayari kupokea burudani hii yakipekee kabisa.
 HUYU NDIO ZUNGU MNYAMA THE DRUMER
 Hapa akipewa pongezi kwa kazi nzuri anayoifanya akiwa kwenye
hyperman hk akifanya yake msikose usiku wa leo burudani kama kawa maishani mwanzo mwisho.

No comments:

Post a Comment